cheka na kuchekesha

Wednesday, July 15, 2015

Mambo ya muhimu kujua kuhusu kicheko

Kabla ya kucheka au kuchekesha, je uliyajua haya? Ni vema ukazingatia nini kucheka kwako au kuchekesha kwako kutafanya mtu ajisikie kuhusu wewe. Nasema ajisikie nikimaanisha kwamba kuna uwezekano yeye mwenyewe asitambue kuwa amekuelewa namna hiyo ila tu akawa amejikuta akikufikiria wewe kwa namna fulani hata kama atashindwa kutetea kwa nini anakuona hivyo.

Staarabika na staarabisha: njia ya 1

Ujumbe unaotaka kufikishwa unaweza kuwa kinyume kama maneno yaliyotumika hayatajitosheleza.

Friday, July 10, 2015

Damu ya Ukoo Wangu: Sehemu ya 1

Nikiwa katika hospitali kuu ya Muhimbili, nilikuwa nikijiuliza maswali mengi.